资讯

Wananchi wa vijiji vya pembezoni mwa barabara ya Ilembo—Mwala—Sapanda, kikiwepo Kijiji cha Ilembo, Wilaya ya Mbeya, wameutaka ...
Changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji wilayani Mpwapwa inakwenda kuwa historia, baada ya halmashauri hiyo kuzindua ...
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) imetupilia mbali hoja za awali zilizowasilishwa na Rwanda katika kesi iliyofunguliwa mahakamani hapo na nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ...
Kati ya wanaopigana vikumbo, wamo wabunge, wawakilishi na madiwani wanaomaliza muda wao na wanahitaji kurudi tena kwenye ...
Maandamano hayo yalikuwa yakiwakumbuka waandamanaji 60 waliouawa Juni 25, 2024, wakati wa maandamano ya kupinga muswada wa ...
Serikali imetaja maeneo saba ya ubora yatashindaniwa katika Tuzo za Utalii Duniani Kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi kwa ...
Utolewaji wa elimu, ugunduzi wa mapema, matibabu na utolewaji wa dawa kwa wakati ni miongoni mwa njia za kupambana na ugonjwa ...
Umoja wa wenza wa viongozi wa kitaifa, Ladies of New Millennium Women Group, umewataka wanawake wajasiriamali kutumia daraja ...
Sanga ametoa kauli hiyo leo Alhamisi, Juni 26, 2025 katika mahojiano maalumu wakati Tamwa ikitarajia kufanya mkutano wake ...
Kwa kuanza kutakuwa na treni moja kila siku itayokuwa inaondoka Pugu saa 10 alfajiri na kusimama Morogoro saa 12:00 asubuhi ...
Ni rasmi Serikali imejitosa kwenye huduma za teksi mtandao, hivi ndivyo inavyoweza kutafsiriwa kufuatia Shirika la Posta ...
Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi, imepanga Julai 18, 2025 kuendelea na usikilizwa katika kesi ya ardhi iliyofunguliwa na ...