资讯

Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi, imepanga Julai 18, 2025 kuendelea na usikilizwa katika kesi ya ardhi iliyofunguliwa na ...
Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kukimbizwa katika Mkoa wa Kilimanjaro kuanzia Juni 28 hadi Julai 4, 2025, ambapo utapitia miradi ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi ameielekeza Bodi ya Mfuko wa Udhamini wa Ukimwi ...
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kura ya wananchi imepoteza thamani katika chaguzi tatu zilizopita.
Wakati joto la uchaguzi mkuu 2025 likizidi kupamba moto, Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimeweka wazi msimamo wake kuwa kitakata majina ya watia nia au wagombea wote wanawania udiwani ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ametoa wito kwa wasafirishaji wote wa mizigo nchini kuhakikisha ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limetoa onyo kali kwa mgombea yeyote atayechochea vurugu au kuwa na shamrashamra za matarumbeta ...
Wananchi waishio maeneo yenye changamoto ya wanyama wakali wamesimulia namna wanavyokabiliana na wanyama hao ikiwemo Tembo ...
Leo nimemsikiliza Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akitoa hotuba ya kuaga Bunge la 12 na kuelezea mafanikio lukuki ikiwamo ...
Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 (Dira 2050) imebainisha sekta tisa zenye fursa za mageuzi ya kuchochea kufikiwa kwa malengo ...
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeweka msimamo kwa waandishi wa habari waliotangaza na wale wenye nia ya ...
Mwili wa aliyekuwa mwigizaji wa Jua Kali Raidanus Vitalis 'Kitundu' umezikwa leo Juni 26, 2025, katika makaburi ya Wailes, ...