资讯

Leo nimemsikiliza Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akitoa hotuba ya kuaga Bunge la 12 na kuelezea mafanikio lukuki ikiwamo ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ametoa wito kwa wasafirishaji wote wa mizigo nchini kuhakikisha ...
Wananchi waishio maeneo yenye changamoto ya wanyama wakali wamesimulia namna wanavyokabiliana na wanyama hao ikiwemo Tembo ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limetoa onyo kali kwa mgombea yeyote atayechochea vurugu au kuwa na shamrashamra za matarumbeta ...
Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 (Dira 2050) imebainisha sekta tisa zenye fursa za mageuzi ya kuchochea kufikiwa kwa malengo ...
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeweka msimamo kwa waandishi wa habari waliotangaza na wale wenye nia ya ...
Mwili wa aliyekuwa mwigizaji wa Jua Kali Raidanus Vitalis 'Kitundu' umezikwa leo Juni 26, 2025, katika makaburi ya Wailes, ...
Yanayomkuta Rais wa sasa wa Zambia, Hakainde Hichilema, kwa kunyimwa fursa ya kuhudhuria mazishi ya Rais wa zamani, Edgar ...
Wakati washindi wa tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika kwa tanzu za riwaya, ushairi, wasifu, tamthilia na michoro ...
Staa wa muziki wa Singeli Bongo, Dulla Makabila amewahi kuachia wimbo 'Furahi' kwa ajili ya aliyekuwa mke wake, Zaiylissa.
Katika historia ya Afrika, vifo vya viongozi wakuu vinavyotokea wakiwa nje za nchi zao vimekuwa chanzo cha mzozo wa kisiasa, ...
Bunge limeridhia azimio la mkataba wa uanzishwaji wa Shirika la Fedha la Afrika (AFC) wa mwaka 2007 ambao unatoa kinga dhidi ...